MISS UNIVERSE 2011, NELLY KAMWELU AWASILI NCHINI,

Written By Admin on Friday, September 16, 2011 | 8:28 AM

MISS UNIVERSE 2011, NELLY KAMWELU AWASILI NCHINI, AING'ARISHA TZ KATIKA VAZI LA TAIFA

 
Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu, akipozi kwa picha baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi kutoka Sao Paulo,bBrazil ambako alikwenda kushiriki katika fainali za Dunia za mashindano hayo. Nelly Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na kufanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la tTifa.
Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu, akipozi akiwa na mizigo yake uwanjani hapo baada ya kuwasili.

0 comments:

Post a Comment