Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Written By Admin on Sunday, August 22, 2010 | 3:56 AM

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete aanguka jukwaani katika viwanja vya jangwani akihutubia umati wa watanzania katika ufunguzi wa kampeni   

Katika picha ni Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani.   kwa taarifa nilizo nazo anaendelea vizuri na alirejea kuendelea na mkutano huo.   

haya sasa kumekucha kampaini ndio hizoo zimeanza kutimua vumbi, kazi kwako wewe mtanzania kuchagua kiongozi bora.

0 comments:

Post a Comment