Malalamiko ya ccm dhidi ya chadema kukiuka maadili yatupiliwa mbali

Written By Admin on Wednesday, September 8, 2010 | 3:43 PM

Katika utetezi wake CHADEMA ilisema malalamiko yamewasilishwa nje ya muda na pia CHADEMA iliwasilisha maelezo na vielelezo kuthibitishwa kilichozungumzwa jangwani ikiwemo ilani, orodha ya mafisadi na mkataba aliosaini Kikwete kuthibitisha ufisadi wa CCM,Kikwete kwenye EPA na Bulyankulu.

kamati ya maadili imetupilia mbali pingamizi hilo kwa kuwasilishwa nje ya muda.

0 comments:

Post a Comment