Mgombea CHADEMA jimbo la "NKENGE" ajiondoa kugombea Ubunge

Written By Admin on Tuesday, September 21, 2010 | 5:23 PM

Taarifa za sasa hivi ni kuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA Bw Focas Rwegasira amejiondoa katika kinyanganyiro hicho hivyo kuwacha wagombea wa CCM na CUF,  Awali ilidaiwa kuwa Bwana Focas ambaye anamiliki vifaa vya mziki alidaiwa kupandikizwa na Dk Kamala aliyebwagwa na Asumpta mshama katika kura za maoni. 

Sababu kubwa ya kujitoa ni kuwa Chama makao makuu kimeshindwa kutoa fungu la kumwezesha kufanya kampeini badala yake amekuwa akitumia fedha zake

0 comments:

Post a Comment