Radio SAUT ya Mwanza yafungiwa!
Written By Admin on Thursday, September 23, 2010 | 1:42 PM
kituo cha radio SAUT kilichopo jijini mwanza kimesimamishwa kurusha matangazo yake kwa muda kutokana na mwingiliano wa mawimbi na kituo cha uwanja wa ndege wa jijini mwanza na hivyo kupelekea mawasiliano ya air port ya jijini mwanza kuharibika, kwa habari nilizo zipata zinasemekana kuwa kunakifaa kinachokosekana katika radio hiyo na ndio kinachopelekea muingiliano wa mawimbi na air port ya jijini mwanza. RADIO SAUT FM itarudi tena hewani endapo marekebisho ya kifaa hicho yatafanyika.
Labels:
ENTERTAINMENT,
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment