pongezi za dhati zimfikie Spika wa Bunge. Mhe. Anne Makinda, kwakuchaguliwa kuwa spika wa kwanza mwanamke katika historia ya bunge la tanzania. na hongera pia kwakupata ushindi wa kishindo dhidi ya mgombea mwenzake Mabele Naucho Marando.
MCHAKATO WA KURA ULIVYOKUWA
Kura zilizopigwa - 325
Kura zilizoharibika - 9 (2.7%)
Mabere Marandu - 53 (16.2%)
Anne Makinda - 265 (74.2%)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment