Obama alidanganywa kifo cha osama!

Written By Admin on Thursday, May 5, 2011 | 10:18 AM

Kutokana na kukosekana kwa ushahidi wowote usioacha shaka kuhusu kifo cha Osama bin Laden na mazishi yake,yasemekana kuwa Rais wa Marekani,Barack Hussein Obama alidanganywa juu ya kifo hicho.Utata umeongezeka baada ya Rais Mstaafu wa nchi hiyo,George Walker Bush kususia sherehe za kifo cha Osama.Hii yamaanisha kuwa Bush haamini kifo cha Osama hadi leo.Kuhusu picha ya kushuhudia mauaji hayo moja kwa moja,wachambuzi wa mambo wamekosoa vikali kwa kusema kuwa hiyo haiwezekani kwakuwa Obama na timu yake hawakuwa na uhakika juu ya kitakachotokea huko.Wanahoji:wangevumilia kuona wanajeshi wao wakiuawa kwa kuchinjwa live kama ingekuwa hivyo?

credit to: 'The Choosen' @jamiiforums

0 comments:

Post a Comment