Wapiganaji wanatembea kuelekea Tripoli

Written By Admin on Sunday, August 21, 2011 | 8:15 PM

Mamia ya wapiganaji wa Libya wanasonga mbele kuelekea Tripoli kutoka mji uliotekwa Jumapili, kilomita 40 nje ya mji mkuu.

wapiganaji hao leo waliingia mji mdogo uitwao Jaddaym. Kulikuwa na mapambano makali leo asubuhi lakini hatimaye wapiganaji waliudhibiti mji huo.
Na kutoka Jaddaym, wapiganaji hao walitembea kuelekea Tripoli. wapiganaji hao wanasema watafika Tripoli leo usiku.

0 comments:

Post a Comment