Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.
habari hii inasikitisha sana na ninawapa pole sana familia ya mtoto huyo, na mungu ailaze riho yake pema Ameen..!
0 comments:
Post a Comment