Mgombea Ubunge kwa jimbo la Kigoma Magharibi Mh Zitto Kabwe akiwasalimia Wananchi wa jimboni mwake wakati wa kuzindua rasmi kampeni za CHADEMA katika kijijiji cha MKONGORO mjini Kigoma Kaskazini.
Mh Zitto Kabwe akisimikwa na wazee wa kimila kuwa chief wa WAHA
Muslim Hassanali Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini nae akitoa salam kwa wananchi
0 comments:
Post a Comment