benzema kutoihama real madrid

Written By Admin on Tuesday, September 14, 2010 | 3:37 PM

Wakala wa mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Ufaransa Karim Benzema amekanusha taarifa za mchezaji huyo kuwa mbioni kuihama klabu yake ya Real Madrid.

Karim Djaziri wakala wa mshambuliaji huyo amesema taarifa zinazoeleza kuwa Benzema yu mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United ama Manchester City ni za uzushi na wale yeye hafikirii kama suala hilo litajitokeza.

0 comments:

Post a Comment