WABUNGE WATEULE VITI MAALUMU CCM NA CHADEMA

Written By Admin on Wednesday, November 10, 2010 | 11:30 AM

Tume ya Uchaguzi imetangaza nafasi 104 ya wabunge wa viti maalumu kwa mgawanyo wake wa kuweza kuingazia uwiano wa wingi wa kura za ubunge. Hivyo baada ya kukokotoa uwiano wa viti hivyo CCM imejizolea viti 65, CHADEMA kimepata viti 23 na CUF kimepewa viti 10.

Katika bunge lililopita kulikuwa na Viti maalumu 75 ambapo CCM ilikuwa ina viti 58, CUF viti 11 na CHADEMA viti 6. Viti vingine 6 vimeachwa wazi vikisubiri matokeo ya majimbo 7 ambayo uchaguzi wake haukufanyika.

Yafuatayo ni majina ya wanaopewa nafasi kutajwa kuwa wabunge wateule kutoka CCM na CHADEMA. Chama Cha Wananchi CUF bado hakijapeleka orodha ya majina waliyopendekeza kuchukua nafasi zao 10.


MAJINA YA WABUNGE WATEULE  WA VITI MAALUMU WA CCM NI:
  1. Sophia Simba, 
  2. Gaudentia Kabaka, 
  3. Ummi Mwalimu, 
  4. Agness Hokororo, 
  5. Martha Umbulla, 
  6. Lucy Mayenga, 
  7. Faida Mohamed Bakari, 
  8. Felista Bura, 
  9. Kidawa Hamid Saleh  
  10. Stella Manyanya.
  11. Lediana Mng’ong’o, 
  12. Sarah Msafiri Ally, 
  13. Catherine Magige, 
  14. Tauhida Galos Cassian, 
  15. Asha Mohamed Omari, 
  16. Rita Mlaki, 
  17. Anna Abdallah, 
  18. Fenella Mukangara, 
  19. Terezya Huvisa na 
  20. Al-Shaymaa Kwegir.
  21. Maria Hewa, 
  22. Hilda Ngoye, 
  23. Josephine Genzabuke, 
  24. Esther Midimu, 
  25. Maida Hamad Abdalla, 
  26. Asha Mshimba Jecha,
  27. Zarina Madabida, 
  28. Namalok Sokoine, 
  29. Munde Abdallah  
  30. Benardetha Mushashu.
  31. Margreth Mkanga, 
  32. Angellah Kairuki, 
  33. Zainab Kawawa, 
  34. Mwanakhamis Said, 
  35. Riziki Lulida, 
  36. Devotha Likokola, 
  37. Christina Ishengoma, 
  38. Mariam Mfaki, 
  39. Margreth Sitta  
  40. Subira Mgalu.
  41. Vicky Kamata, 
  42. Pindi Chana, 
  43. Fatuma Mikidadi, 
  44. Getrude Rwakatare, 
  45. Betty Machangu, 
  46. Diana Chilolo, 
  47. Fakharia Shomari Khamis, 
  48. Zaynabu Vulu, 
  49. Abia Nyabakari  
  50. Pudenciana Kikwembe.
  51. Rita Kabati, 
  52. Martha Mlata, 
  53. Dk Maua Daftari, 
  54. Elizabeth Batenga, 
  55. Azza Hamad, 
  56. Mary Mwanjelwa, 
  57. Josephine Chengula, 
  58. Bahati Abeid, 
  59. Kiumbwa Mbaraka 
  60. Roweete Kasikila, 
  61. Anastazia Wambura, 
  62. Mary Chatanda, 
  63. Rosemary Kirigini, 
  64. Mariam Kisangi  
  65. Kemilembe Lwota
MAJINA YA WABUNGE WATEULE 23 WA VITI MAALUMU WA CHADEMA NI:
  1. Lucy Owenya, 
  2. Ester Matiko, 
  3. Mhonga Ruhwanya, 
  4. Anna Mallac, 
  5. Paulina Gekuli 
  6. Conchesta Rwamlaza, 
  7. Suzan Kiwanga, 
  8. Suzan Lyimo, 
  9. Grace Kiwelu, 
  10. Regia Mtema, 
  11. Christowaja Mkinda, 
  12. Anna Komu, 
  13. Mwanamrisho Abama, 
  14. Joyce Mukya, 
  15. Leticia Nyerere 
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula, 
  18. Grace Kiwelu, 
  19. Rose Kamili, 
  20. Christina Lissu Mughiwa, 
  21. Raya Ibrahim, 
  22. Philipa Mturano, 
  23. Miriam Msabaha  
  24. Rachel Mashishanga. 

0 comments:

Post a Comment