Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Kwanza Maalim Seif Sharif Hamadi,wa CUF jana, Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Pili Balozi Seif Ali Iddi,wa Chama Cha Mapinduzi,CCM katika hafla Iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu,Zanzibar.
source : MICHUZI JR
Maalim Seif Aapishwa, kuwa makamu wa kwanza wa rais
Written By Admin on Wednesday, November 10, 2010 | 10:44 AM
Labels:
NEWS,
UCHAGUZI 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment