HP Kufungua Kiwanda Tanzania.

Written By Admin on Saturday, May 7, 2011 | 9:28 AM

kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.

Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.

0 comments:

Post a Comment