Happy mothers day..... Lets appreciate our mothers.

Written By Admin on Sunday, May 8, 2011 | 9:32 AM

Tarehe ya leo (8/May) ni tarehe ambao
ni siku ya akina mama duniani (si inchi zote) uhitimishwa. Mama amekua akisifiwa kwa malezi yake mazuri juu
ya mwanae ikiaminika kua hufanya
lolote lile bila kujali yeye personaly
laweza kumdhuru namna gani.
Ingawa inaonekana idadi ya akina
mama wasiofaa katika jamii inakua; bado nafasi yake ni kubwa hivyo
kutambulika na kukubalika. Nikitaka
niorodheshe nafasi na vitu ambavyo mama zetu wamefanya juu yetu na ambavyo pengine ni vigumu kwa
yoyote kukufanyia, nitachukua siku
nzima.

Bahati nzuri ni wengi ambao
wamejaliwa kulelewa na mama zao
na kupata experience za utamu wa
mapenzi ya mama directly. Kuna wale
ambao hawajajaliwa kulelewa na mama yao kwa sababu nyingi na tofauti hivyo kukosa hiyo bahati ya
kupata Mapenzi ya mama moja kwa moja (my heart goes to all who have
never met their mothers or lost them too young).

Hivyo basi kwa kutimiza na
kuhitimisha siku hii kubwa ya MOTHERS DAY naomba tuendelee kukubushana marafiki, ndugu na
jamaa kua tuna haki ya kuwapongeza
all the mothers popote walipo.
Kupongeza si lazima awe mama yako
tu mpongeze mama yoyote Yule ambae yuko responsible kwa watoto
wake for The idea of celebrating Mother's Day the world over is to pay tribute to mothers for all their love
and support and to make them feel
special.

0 comments:

Post a Comment