Katibu Mtendaji wa BASATA amkabidhi bendera Miss Universe 2010

Written By Admin on Friday, August 19, 2011 | 5:15 PM

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bw.Ghonche Materego akimkabidhi Bendera ya Taifa mshindi wa shindano la Miss Universe 2010, Nelly Kamwelu anayeelekea Sao Paulo Brazil kuiwakilisha Tanzania kwenye fainali za shindano hilo.

0 comments:

Post a Comment