Vodacom Miss Tanzania watembelea mitambo ya Vodacom Kanda ya Kaskazini

Written By Admin on Friday, August 19, 2011 | 5:26 PM

Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo mbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea kituo hicho jana. Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya Kaskazini.


0 comments:

Post a Comment