Tanzania: Sakata la Dowans

Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya kuridhia malipo ya fidia ya fedha kwa Kampuni ya ya Dowans ambayo ilisajili,tuzo yake iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara (ICC).
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe, amesema hukumu hiyo ni matokeo ya wanasiasa kutofuata ushauri wa kitaalam na kuweka mbele maslahi ya kisiasa.
0 comments:
Post a Comment