AHADI ZA KIKWETE ZA ZIDI KUONGEZEKA..!!

Written By Admin on Monday, August 30, 2010 | 8:54 AM

Ugonjwa unaomsumbua Rais Kikwete uitwao "AHADISM" umeendelea kusambaa kwa kasi na hali yake sasa ni mbaya. hizi ahadi atazitekeleza au ndio campain 2
  • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kigoma
  • Hospitali ya Rufaa Kigoma
  • Hospitali ya kutibu figo Kigoma
  • Meli mpya ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa
  • Daraja la mto Malagarasi
  • Barabara ya lami kutoka Tabora hadi Kigoma
  • Hospitali ya Wilaya Ujiji

0 comments:

Post a Comment