CCM Yazindua Rasmi Kampeni Zake Leo

Written By Admin on Sunday, August 22, 2010 | 1:22 AM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM na wapenzi wa Chama hicho waliofika leo katika Viwanja vya Jangwani Jijini Dar wakati wa uzinduzi wa Kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2010.

Umati mkubwa wa wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar leo.

0 comments:

Post a Comment