
Leo tunaangalia homa za matumbo (Typhoid) Ikiwa una uhakika una homa ya tumbo yaani Typhoid unachotakiwa kufanya ni kuandaa kitunguu (swaumu) kikiwa kisafi na kimenye ili upate punje zako za kutosha.
Jinsi ya kutumia kama dawa
Tafuna punje sita za vitunguu swaumu, mara tatu kwa siku kwa siku sita. Baada ya siku sita nenda kapime tena uone maajabu ya kitunguu swaumu.
0 comments:
Post a Comment