Nakaaya kuhamia CCM

Written By Admin on Friday, September 17, 2010 | 4:49 PM

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini ambaye alikuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, Nakaaya Sumari, jana jioni ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nakaaya katangaza hayo jana mbele ya mgombea urais wa CCM, Dr. Jakaya Kikwete katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa mkutano wa kampeni za Wilaya ya Arumeru.

0 comments:

Post a Comment