vodacom tanzania imekuja na ofa mpya kwa wateja wake wa internet kupitia THE GRID, FACEBOOK na VODA MAIL, kuanzia sasa wateja wa the grid, facebook na vodamail wata weza kutumia internet bure kwa kufungua web site hizo, furahia huduma hii mpya toka vodacom tanzania.
links
facebook the grid
vodamail
0 comments:
Post a Comment