AY LIVE NDANI YA BILICANAS JUMAPILI HII

Written By Admin on Saturday, October 9, 2010 | 10:13 PM

Mzee wa Commercial AY jumapili hii tarehe 10 anapiga show ya ukweli katika ukumbi wa Bilicanas.Report zinaeleza kuwa ameandaa show ya kijanja na yenye ubunifu mwingine tofauti.Anapenda kuwaalika washabiki wamiminike ili kukamua nao kwa pamoja..kwenye kazi hakuna mchezo so njooni kwa wingi muweze kucheza hits zake kuanzia Ni raha tu,yule,leo,kings and queens mpaka mapini mawili yanayosumbua anga kwa wakati huu Dakika moja aliyofanya na FA pamoja na Chap Chap alilokamua na mkali toka Uganda BEBE COOL a.k.a Big Size. Hii si ya kukosa 5000 tu mlangoni wazeiya kazi kwenu..

0 comments:

Post a Comment