mgombea Ubunge wa jimbo la Kawe kupitia chama cha CHADEMA Bi,Halima Mdee ametangazwa rasmi kuwa ndiye mbunge mteule wa jimbo la KAWE ambaye amelinyakua kwa kishindo Jimbo hilo la KAWE.
kwa umakini wake tutegemee mambo mazuri sana bungeni msimu huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment