Manchester United 3-0 Tottenham:

Written By Admin on Tuesday, August 23, 2011 | 4:27 AM


Manchester United wamefanikiwa kuwacharaza mabao 3-0 mahasimu wao Tottenham katika mechi yao ya kwanza ya nyumbani katika msimu huu wa 2011/2012 , wafungaji wa magoli hayo ni Danny Welbeck, Anderson naWayne Rooney.

0 comments:

Post a Comment