Roberto Mancini atarajia kumaliza mkataba na NASRI wa Alsenal wiki hii
Written By Admin on Sunday, August 21, 2011 | 11:12 PM
kocha wa Manchester City, amesema atahakikisha anampata kiungo wa Alsenal ndani ya siku mbili, hii ni baada ya matarajio ya alsena kufuzu kuingia katika CHAMPIONS LEAGUE kuwa hafifu.
0 comments:
Post a Comment