Tamasha la Epiq Nation latikisa Coco Beach Eid El Fitr

Mfalme
wa Muziki wa Bongo Crunk, C- Pwaa akiimba sambamba na wacheza shoo
kutoka Norway, Emilie Asla (kushoto) na Otilie Pettersen (kulia) wakati
alipotumbuiza katika Tamasha kubwa la Epiq Nation lililoandaliwa na
kampuni ya Zantel ikiwa ni katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr
kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.

Mkali
wa Hip Hop nchini, Roma Mkatoliki akitumbuiza katika Tamasha kubwa la
Epiq Nation lililoandaliwa na kampuni ya Zantel ikiwa ni katika
kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar es
Salaam.
Kiongozi
wa kundi la TMK Wanaume Halisi, Juma Kassim Kiriboto ' Sir Nature'
(katikati) akicheza sambamba na waimbaji wake, Mabaga Fresh (kushoto)
na YR wakati walipotumbuiza katika Tamasha kubwa la Epiq Nation
lililoandaliwa na kampuni ya Zantel ikiwa ni katika kusherehekea
Sikukuu ya Eid el Fitr kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment