Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amekaririwa akisema kuwa pingamizi la Slaa dhidi ya Kiwete ni zito.
Nina nukuu sehemu husika: "Katika hatua nyingine, Msajili wa wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema kuwa pingamizi linalokusudiwa kuwekwa na Chadema dhidi ya mgombea urais wa CCM, Rais Kikwete ni zito, kwani linaigusa serikali inayoongozwa na Rais Kikwete moja kwa moja.
"Akizungumza na waandishi wa habari oifisini mwake jana, Tendwa alisema endapo Chadema itawasilisha pingamizi lao katika ofisi yake, itamlazimu kukaa na wanasheria kujadili kwa kina namna ya mishahara hiyo ilivyoongezwa ili kulitolea uamuzi."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment