Ali Kiba aimwaga G-Records

Written By Admin on Thursday, September 2, 2010 | 4:42 PM

Baada ya kufanya kazi kwa miaka kadhaa sasa akiwa chini ya label ya 'G-Records' chini ya usimamizi wa C.E.O Guru Ramadhani, Ali Kiba ametangaza rasmi kuachana na uongozi huo na kuamua kufanya kazi zake kivyake.

Sms iliyotufikia kutoka kwa Guru...ilisema...."Kaka kuanzia sasa hatutakuwa na Ali Kiba kwa sababu kaomba kufanya kazi zake mwenyewe".




Tunakutakia kila la kheri bwana mdogo...ila rekodi zetu zinaonyesha wasanii wengi waliokuwa wameanzia kwenye makundi..wakijaribu kuanza kivyao...wengi wao wamekuwa wakiangukia pua! hahahaha ni mtazamo tu lakini

0 comments:

Post a Comment